Dalili 12 Za Kuwa na Sumu Nyingi Mwilini.

Dalili 12 Za Kuwa na Sumu Nyingi Mwilini.

Kimsingi ni Kwamba tunaingiza Sumu nyingi saana Mwilini siku hizi kutokana na Mfumo Wa maisha tunaoishi. Hewa tuvayovuta Kuna Uchafuzi Mkubwa, Vyakula tunavyokula lakini pia Madawa ya Kisasa yana Kiwango cha Kemikali Fulani. Zifuatazo ni Dalili hizi….

1.Uzito uliozidi na Hautoki /Haupungui  kirahisi Kwa kufanya Diet au Mazoezi (Ukipungua Unarudi tena Haraka)

2.Kuchoka Ovyo Kusikoelezeka.

3.Kukosa Usingizi (Kuwa na Stress hasa Usiku)

4.Kushuka Uwezo Wa Kufikiri (Fuzzy Thinking)

5.Maumivu Ya Kichwa Mara Kwa Mara.

6. Kuwa na Mood mbaya Mara Kwa Mara (Kukasirika Haraka)

7. Mwili kutoa Harufu mbaya. (Jasho Kali saana, mdomo  au Kutoa Choo Chenye Harufu Kali kuliko Kawaida.

8. Kupata Choo Kigumu (Kukosa Choo Kwa Siku Kadhaa) au kupata Mara moja Kwa siku nzima wakati umekula zaidi ya Mara 2.

9.Maumivu ya Misuli yasiyoelezeka.

10. Ngozi Kukosa Nuru

11. Kuwa Sensitive saana na Harufu na Kuhisi Harufu nyingi zinakuumiza

12. Kuwa na Hamu kubwa ya Vyakula hasa vyenye Mafuta Mengi, Sukari nyingi na Chumvi Nyingi.

*Kama Una Kati ya Dalili Kuanzia 3 kati ya Hizi tambua Kuwa Mwili wako unahitaji Kuondolewa Sumu. Tunahuduma nzuri saana ya Bidhaa Lishe ya Kuondoa Sumu Mwilini…Usipofanya Hivyo, Tarajia matatizo Makubwa kwenye afya yako siku za Usoni*

Tiba yake ni Tsh. 45000

Kupata Tiba Yake Wasiliana na Doctor Seifu

0763311841 / 0679919692

TU FOLLOW KATIKA MITANDAO YA KIJAMII