Faida za mafuta ya habat soda.

Faida za mafuta ya habat soda.

1.Hutibu maambukizi.

Maambukizi ya aina yote hupigwa na kinga ya mwili hasa na seli nyeupe za damu ndizo zinazohusika na kazi hiyo. Kwa kuiongezea nguvu kinga ya mwili moja kwa moja, mafuta ya habbat soda yanausaidia mwili wako kupigana na maambukizi kutoka kwenye nywele kichani mpaka kwenye kucha. Hii ni sifa ya pekee ya habbat soda ambayo imekuwa ikijulikana kuwa nayo katika historia yote ya dunia tangu enzi hata leo bado ni moja ya dawa za asili zenye nguvu ya kupigana na maambukizi ya aina nyingi ya mwili.

Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai cha mafuta ya habbat soda kutwa mara 1 kwa mwezi mmoja mpaka miwili.

2.Hutibu kansa ya ngozi.(Melanoma)

Kansa ni matokeo ya kinasaba cha damu (DNA) kujizidisha au kujizalisha mara nyingi na kwa haraka zaidi dhidi ya uwezo wa kinga ya mwili.Mara nyingi kansa hutokeza vivimbe sehemu mbalimbali mwilini. Mafuta ya habbat soda yana virutubishi vingine viwili ambavyo ni ‘thymoquinone’ na ‘thymohydroquinone’ ambavyo utafiti unaonyesha huwa vina uwezo wa kudhibiti kansa kwenye ngozi na kansa nyingine mbalimbali mwilini. Hii ni kutokana na sifa yake ya haya mafuta katika kuzuia uvimbe na bakteria, sifa kuu mbili za habat soda.Habbat soda hufanya hivyokwa kuzilenga seli zako nyeupe za damu kwa kuziongezea kinga ya mwili na hivyo kuua seli za kansa.

Matumizi:

Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai cha mafuta ya habbat soda kutwa mara 1 kwa mwezi mmoja mpaka miwili.

3.Hutibu shinikizo la juu la damu.

Mafuta ya habbat soda kwa ajili ya shinikizo la juu la damu ni moja kati ya matumizi makubwa ya mafuta haya kwa sasa. Ingawa haijathibitishwa rasmi kama dawa ya kutibu shinikizo la juu la damu lakini wagonjwa wengi wa shinikizo la juu la damu wameripoti kushuka kwa kiwango kikubwa cha mashinikizo yao ya damu wakati wanapotumia mafuta haya ya habbat soda.Tafiti kama hizi zimepelekea wengi kuanza kutumia mafuta ya habbat soda kama dawa ya asili kwa ajili kutibu shinikizo la juu la damu.

Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai cha mafuta ya habbat soda kutwa mara 1 kwa wiki 3 hadi mwezi mmoja.Pia hakikisha unakuwa na uzitos awa kulingana na urefu wako. BP ya juu inaweza kuchelewa kupona ikiwa uzito wako upo juu ya inavyotakiwa uwe nao.

4.Hutibu kansa ya mlango wa kizazi.

Kansa ambayo mafuta ya habbat soda yamethibitika kuitibu ni kansa ya mlango wa kizazi (cervical cancer). Hii tena inawezekana kutokana na kimeng’enya ‘thymoquinione’ kipatikanacho kwenye hayamafuta, tafiti zinaonyesha kuwa husaidia pia kwa kuziongezea nguvu na idadi seli nyeupe za damu na kuzidhibiti seli za kansa kuendelea kujizalisha.

Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku kwa mwezi 1.

5.Hutibu saratani ya matiti.

Mafuta ya habbat soda yana uwezo wa kuzuia seli za saratani ya titi kuendelea kujizalisha na inashauriwa kwa ajili ya kutibu saratani ya titi yatumike kwa kipindi kirefu miezi hata miwili

au zaidi.

Matumizi:Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku.

6.Huondoa tatizo la kukosa usingizi.

Tafiti zinaonyesha mafuta ya habbat soda ni dawa nzuri ya asili dhidi ya tatizo la kukosa usingizi na matatizo mengine kama hayo ya kuvuruga utulivu wa usingizi kwa ujumla. Watu wengi wameripoti kupata usingizi mororo na utulivu kwa ujumla kwa kutumia habbat soda.

Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku kwa majuma kadhaa.

7.Hutibu Kisukari.

Kitu gani kimeyafanya mafuta ya habbat soda kuwa ndiyo dawa nzuri ya asili dhidi ya Kisukari? Ni ule uwezo wake mkubwa wa kushusha shinikizo la damu na kusaidia wagonjwa wa Kisukari wote ambao ni tegemezi au si wategemezi wa insulin. Ni dawa nzuri kwa watu wote wenye kisukari aina ya kwanza na Kisukari aina ya pili kwa wakati mmoja. Pia huboresha kwa ujumla AFYA ya damu yako.

Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 2 kila siku kwa mwezi mmoja hadi miwili.

8.Huongeza kinga ya mwili

Unaweza kutumia mafuta ya habbat soda kuimarisha kinga yako ya mwili kwa ujumla na hivyo kuongeza ulinzi wa mwili wako dhidi ya magonjwa mbalimbali ikiwemo dhidi ya bakteria na virusi. Mafuta ya habbat soda ndiyo bidhaa pekee ya asili iwezayo kuimarishakinga yako ya mwili kwa muda mfupi.

Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai chamafuta ya habbat soda kutwa mara 1 kila siku mpaka kinga yako imeimarika. Unaweza kutumia pia mafuta haya hata kama huumwi chochote.

9. Hutibu U.T.I.

Maambukizi na matatizo mengi kwenye kibofu cha mkojo na njia ya mkojo kwa ujumla yanatibika na mafuta ya habbat soda ikiwemo ugonjwa wa U.T.I unaowasumbua watu wengi miaka ya karibuni.

Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku kwa majuma kadhaa.

10.Yanaimarisha afya ya moyo.

Afya mbovu ya moyo inaweza kuwa ni matokeo ya sababu nyingi lakini sababu zote chanzo chake kikuu ni matokeo ya kutokuupa moyo virutubishi unavyovihitaji.Mafuta ya habbat soda yana asidi mafuta safi na yenye Omega 6 na 9, pia yana kirutubishi kingine mhimu zaidi kijulikanacho kama “phytosterols” ambacho husaidia kulazimisha kusinyaa na kutanuka kwa mishipa ya damu na hivyo kusaidia kuzuia damu kuganda na kujikaza katika ateri. Viinilishe hivi pia husaidia kushusha lehemu kwenye damu na kiasi cha damu sukari.Kwa karne nyingi mafuta ya habbat soda yamekuwa yakitumika kutibu matatizo mengi yanayohusiana na moyo.

Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai chamafuta ya habbat soda kutwa mara 1 kwa mwezi mmoja mpaka miwili.

11.Hutibu kikohozi na Pumu.

Ile sifa yake kuu ya kuondoa vivimbe kwenye tyubu za koo, kitendo chake cha kuongeza kinga ya mwili, kuua bakteria na virusi ndiyo sababu za mafuta haya kutumika kutibu kikohozi na pumu.Imeandikwa katika historia kuwa mababu wa zamani wa Misri walikuwa wakitumia mafuta ya habbat soda hasa kwa ajili ya kuimarisha afya ya mfumo mzima wa upumuwaji.

Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai chamafuta ya habbat soda kutwa mara 1 kwa wiki 3 hadi 4.

12.Hutibu fangasi ya ngozi na mapunye.

Fangasi, mapunye, ukurutu na magonjwa mengi ya ngozi yanaweza kutibika kwa kutumia mafuta ya habbat soda. Fangasi na mapunye ni tatizo linalowapata watu wengi karibu kila sehemu katika nchi tajiri hata katika nchi maskini pia.Unaweza kuyanywa mdomoni na wakati huo huo ukapaka moja kwa moja juu ya ngozi sehemu yenye tatizo kwa majuma kadhaa. Kama ni kunywa basi kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kila siku mpaka upone.

13.Huondoa makovu.

Iwe ni makovu ya upasuaji uliopita au ni makovu mengine yoyote, mafuta ya habbat soda ndiyo dawa nzuri kwa ajili ya kuondoa makovu. Ni moja kati ya dawa mbadala chache ambazo zimethibitishwa kuondoa na kutibu makovu moja kwa moja.

Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku kwa majuma kadhaa.

14.Huondoa mawe kwenye kibofu cha mkojo.

Kutumia mafuta ya habbat soda kwa ajili ya kuondoa mawe kwenye kibofu cha mkojo ni njia nzuri ya kuondoa maumivu na mawe katika kibofu cha mkojo kwa pamoja. 

Uwezo mkubwa ulionayo mafuta haya katika kuondoa vivimbe na sifa yake ya kuondoa sumu ndivyo vitu vinavyoyafanya mafuta haya kuwa dawa bora ya asili ya kuondoa mawe katika kibofu cha mkojo.

Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai cha mafuta ya habbat soda kutwa mara 1 kila siku mpaka upone.

15.Hutibu mba kichwani.

Mafuta haya si mazuri kwa ajili ya kukuza au kuotesha nywele zako tu, bali pia huhamasisha ukuwaji wa vinyweleo vya ngozi na hata kuzuia na kutibu mba. Unachohitaji kufanya ni kupaka mafuta ya kutosha ya habbat soda kichwani kwako na uache kama dakika 30 hadi 60 hivi na unaweza kujisafisha au kuacha hivi mpaka utakapoenda kuoga tena.Na mafuta haya unapoweka kichwani yanadondoka kidogo kidogo hadi kwenye ubongo na utaona vitu kama maumivu ya kichwa vinaanza kuisha taratibu.

16.Hutibu vidonda vya tumbo.

Ni moja ya dawa za asili chache zinazoweza kutibu vidonda vya tumbo moja kwa moja.Tafiti nyingi zinathibitisha mafuta ya habbat soda yanatibu aina zote za vidonda vya tumbo.

Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku kwa majuma kadhaa hadi siku 60.

Vidonda vya tumbo pia upate unga wa asili wa majani ya mlonge na mbegu za maboga kwa matokeo mazuri na ya uhakika, kumbuka pia kunywa maji mengi ya kutosha kila siku, epuka pia vinywaji na vyakula vyenye asidi nyingi.

17.Huimarisha mifupa.

Tafiti zimeonyesha kuwa mafuta ya habbat soda yanaongeza ukuwaji wa seli za uboho wa kwenye mifupa kwa asilimia 150 yanapotumika.Hii ni kwa mjibu wa tafiti mbalimbali zilizofanywa kwa watu wengi mbalimbali. Kile kinashangaza zaidi ni kuwa mafuta haya yameonekana kuwa na uwezo wa kuzuia uongezekaji wa vivimbe mbalimbali walau kwa zaidiya asilimia 50.

Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku kwa mwezi mmoja hata miwili.

18.Husaidia kuongeza damu mwilini.

Wengi wetu tunakumbwa na tatizo la kupungukiwa damu (anemia) na hili linaweza kuiweka miili yetu katika hali ya hatari zaidi. Kwa mara nyingine tena mafuta ya habbat soda yanaonekana kuokoa tatizohili baya la kiafya.Yamethibitika kutibu tatizo la upungufu wa damu moja kwa moja.

Matumizi:Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku kwa majuma kadhaa.

19.Huzuia kudhurika kwa figo kama matokeo ya Kisukari.

Ukiacha ukweli kwamba mafuta ya habbat soda ni dawa mbadala nzuri kabisaya kutibu Shinikizo la juu la damu na Kisukari pia ni dawa ya kuzuia kudhurika kwa figo kama matokeo ya kuugua ugonjwa wa kisukari.Sababu ya hili ni kutokana na viinilishe mhimu sana vilivyomo kwenye habbat soda ambayo hujulikana pia kama ‘nigella sativa’ au ‘black seeds’.

Matumizi:Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku.

20.Huweka sawa mzunguko wa hedhi.

Mafuta haya yana kazi mhimu sana linalopokuja suala la kulinda na kutibu matatizo mbalimbali ya uzazi.Matatizo karibu yote ya uzazi kama maumivu ya tumbo chini ya kitovu, siku za mwezi zisizoeleweka au kutokuwa na mzunguko maalumu, kukosa hedhi, matatizo katika mfuko wa uzazi na hata maumivu wakati wa tendo la ndoa.Ni dawa nzuri kutumika hata kwa wamama wakubwa wanaopatwa na matatizo kutokana na kusimama kuona siku zao. Unaweza kuyanywa kijiko kidogo kimoja kila siku na hata kupaka ndani ya uke mara kwa mara kwani hutumika pia kutibu .U.T.I na fangasi za ukeni.

21.Hutibu kansa ya Ubongo.

Mafuta ya habbat soda ni msaada mkubwa katika kudhibiti na kusambaratisha vivimbe kwenye ubongo na seli za kansa kwenye ubongo wako. Makundi kadhaa ya watafiti wamehitimisha kuwa mafuta ya habbat soda ni dawa halali ya asili kwa ajili ya kutibu kansa ya ubongo na uvimbe katika ubongo.

Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku kwa majuma kadhaa. Pia pakaa kichwani moja kwa moja ama mafuta ya habbat soda ya kawaida au hata yale ya nywele kila siku.

22.Tiba asili ya chango kwa watoto.

Ukiwa na mtoto anayesumbuliwa na chango au msokoto wa tumbo linaweza kuwa ni jambo linalokupa msongo wa mawazo maishani. Ingawa visababishi vya chango kwa watoto bado havijulikani bayana, kile ambacho kimethibitishwa ni kuwa mafuta ya habbat soda ni tiba asili kwa chango au msokoto wa tumbo kwa watoto.Ni mhimu kuanza na kiasi kidogo sana kama matone matatu hadi matano na uendelee kuongeza kiasi cha dawa kidogo kidogo kila siku.

23.Huzuia madhara yatokanayo na shambulio la moyo.

mafuta ya habbat soda yamekuwa yakitumika miaka mingi kutibu matatizo mbalimbali ya moyo, vivyo hivyo yameonekana kuzuia madhara ya pili yatokanayona shambulio la moyo (heart attack) na magonjwamengine kwenye mfumo wa upumuwaji kwa ujumla.

Matumizi:Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku kwa majuma kadhaa.

24.Huondoa vimelea vya magonjwa.

Mafuta ya habbat soda ni kinga dhidi ya vimelea (parasites) vingi vya magonjwa na huvitafuta na kuviua vimelea hivi popote vitakapokuwa ndani ya mwili. Hufanya kazi hii kwa kuvilevya hivyo vimelea na kuupa urahisi mwili kuviangamiza.

Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku kwa majuma kadhaa.

25.Huziua seli za kansa za aina nyingi.

Hutibu na kuziua seli za karibu kansa za aina zote, kansa ya mdomoni, kansa ya ini, kansa ya kongosho nk.Tafiti zimeonyesha mafuta ya habbat soda kuwa dawa nzuri dhidi ya kansa mbalimbali mwilini kwa kuzuia uongezekaji wa seli za kansa na kusambaratisha na kansa zenyewe katika baadhi ya kesi.Hufanya kazi hii kwanza kwa kuiimarisha kinga yakoya mwili na kuziua seli zenyewe za kansa moja kwa moja.

Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku kwa mwezi mmoja hadi miwili.

26.Huondoa huzuni na mfadhaiko/stress.

Tafiti kadhaa zimeonyesha watu waliokuwa wakitumia mafuta ya habbat soda wanakuwa ni watu wenye furaha ya asili na kuwa si wepesi kuwa na huzuni au kufadhaika. Kazi hii ya mafuta ya habbat soda ndiyo mhimu kuliko zote sababu mamilioni ya watu wanakabiliwa na tatizo la kuwa na huzuni/stress na mifadhaiko ya akili kitendo ambacho kinaweza kuharibu kinga zao za mwili na maisha kwa ujumla.Ni vigumu sana kupata mtishamba ambao unaweza kutibu matatizo yanayohusiana na saikolojia moja kwa moja lakini mafuta ya habbat soda yanaweza kutumika kwa dhumuni hili la kutuliza, kupunguza na kutibu tatizo la huzuni au kufadhaika kwa akili.

Matumizi:Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku na kwa matokeo mazuri pata pia mbegu za maboga zilizokaangwa kidogo na chumvi ya mawe ya baharini na utafune kiganja kimoja cha mkono wako kila siku mpaka upone, tumia muda mrefu hata miezi miwili hata zaidi ikibidi.

27.Mazuri wakati wa ujauzito.

Inasisitizwa kuwasiliana nadaktari wako wakati wa ujauzito kabla ya kuamua kutumia dawa yoyote.Hata hivyo mafuta ya habbat soda yameonyesha matokeo chanya hata yakitumika wakati wa ujauzito ingawa bado hakuna hitimisho la jumla ikiwa yatumike kwa mama mjamzito au yasitumike sababu katika baadhi ya kesi yanaonyesha kupunguza kukazika kirahisi kwa misuli ya mfuko wa nyumba ya uzazi.

Matumizi:Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku.

28.Hutibu baridi yabisi (Arthritis).

Mafuta ya habbat soda yamethibitika kuwa dawa bora dhidi ya ugonjwa wa baridi yabisi, maumivu kwenye mishipa na hali ya mwili kuwaka moto kwa ujumla.

Matumizi:Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku mpaka upone.

29.Huzuia na kutibu tatizo la kupoteza kumbukumbu.

Kumekuwa na tafiti nyingi hivi karibuni ambazo zimeonyesha mafuta ya habbat soda kuwa msaada mkubwa kwa kuzuia na kupunguza kuongezeka kwa dalili za ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu (Alzheimer).Matokeo yalionyesha kwamba yakitumika kila siku kijiko kidogo kimoja hadi viwili vya chai huleta matokeo mazuri zaidi.

30.Husaidia kupunguza uzito.

Kwa sababu uzito na unene kupita kiasi huhusiana pia na matatizo mengine ya kutofanya kazi kwa kinga ya mwili, ukaidi wa insulin, kansa na matatizo mengi katika mfumo wa upumuwaji, ndipo mafuta ya habbat soda yanapokujakuwa mhimu kwa ajili ya kupunguza uzito na unene kupita kiasi.Mafuta ya habbat soda yamethibitika na watafiti wengi kote duniani kuwa msaada mkubwa kwa wale wanaotaka kupunguza uzito.

Matumizi:Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku kwa wiki 4 hadi 6, usisahau pia kufanya mazoezi ya kukimbia (jogging) kila siku,epuka kukaa kwenye kiti masaa mengi na ubadili chakula unachokula kila mara hasa uepuke vyakula vya wanga na vile vyenye mafuta mengi na unywe maji ya kutosha kila siku.

31.Hurekebisha matatizo katika tezi dume.

Afya ya tezi dume ni ishu kwa wanaume wengi duniani kote na kupata dawa ya asili nzuri kwa ajili hiyo inaweza kuwa mtihani kwa wengi.mafuta ya habbat soda yamekuwa yakitumika kwa ajili ya kuimarisha afyaya tezi dume kwa karne nyingi sasa. Tafiti zinaonyesha kuwa ni dawa nzuri hata kwa saratani ya tezi dume.

Matumizi:Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku kwa wiki 4 hadi 6.

32.Huimarisha afya ya mbegu za kiume.

Ukiacha uwezo wake katika

kuongeza stamina na nguvu kwa wanaume na kuongeza hamu ya tendo landoa kwa wanawake, mafuta haya pia hutumika kutibu tatizo la afya dhaifu la mbegu za kiume na kuongeza wingi wake kwa ujumla (semen count).Kwa mjibu wa tafiti mbalimbali, mbegu za kiume zinaonekana kuimarika na kuwa nyingi za kutosha baada ya kutumia dawa hii kwa miezi miwili kila siku.

Matumizi:Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku.

33.Hutibu homa ya uti wa mgongo.

Nguvu za mtishamba huu zimethibitika kuwa msaada mkubwa katika kutibu homa ya uti wa mgongo (meningitis).Baadhi ya tafiti zinaonyesha kuwa mafuta ya habbat soda ni moja ya tiba asili nzuri zaidi kwa ajili ya homa ya uti wa mgongo inayoaminiwa hadisasa.

Kunywa kijiko kidogo kimoja hadi viwili vya mafuta haya kila siku kwa majuma kadhaa.

34.Hutibu kizunguzungu.

Historia nyingine katika matumizi ya mafuta ya habbat soda ni katika kutibu kizunguzungu. Mafuta ya habbat soda yanatambulika kwa kutibu kizunguzungu na kile unachotakiwa kufanya ni kujichua shingoni na mashavuni kwa kutumia mafuta ya habbat soda na dalili za kizunguzungu zinaweza zikaanza kupotea mara moja.Fanya zoezi hili kwa wiki 2.

Wasiliana na Doctor Seifu mafuta original ya habat soda.

0763311841 / 0679919692

TU FOLLOW KATIKA MITANDAO YA KIJAMII