Upungufu Wa nguvu za kiume.

Nguvu za kiume

Upungufu Wa nguvu za kiume.

Nini maana ya Upungufu wa nguvu za kiume ?.

Ni hali ya mwanaume kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa ukamilifu.

Chanzo cha tatizo.

Vyanzo ni vingi na vifuatavyo ni baadhi tu.

👉Punyeto.

Ni kitendo cha kusugua sehemu ya siri ya uzazi kwa kutumia mkono au sabuni na kufika kileleni.

Madhara ya Punyeto.

👉Ni chanzo kikubwa cha kupoteza kumbukumbu na kukufanya ushindwe kufanya vitu kwa umakini.

👉Huuwa na kumaliza nguvu za kiume kabisa.

👉Husababisha uchovu muda wote.

👉Humfanya mtu kupoteza nguvu za mwili na kumfanya kuwa legevu na mvivu.

👉Husababisha mwanaume kutoa manii haraka wakati wa tendo la ndoa.

👉Husababisha msongo mkubwa wa mawazo.(mawazo kuwa mengi)

👉Husababisha mtu kukosa hamu kabisa  Ya tendo la ndoa hata akiwa na mke wake.

👉Husababisha mtu kuathilika kisaikolojia.

👉Humfanya mtu kuwa mtumwa wa kitendo hicho.

👉Kushindwa kusimamisha uume zaidi ya mara 1 na uume kuwa legevu.

👉Inadhoofisha mwili na kuufanya jalala la maradhi.

👉Huzidisha mapigo ya moyo kama mtu mwenye presha.

👉Husababisha kuvunjika kwa ndoa.

👉Humfanya mtu kutazama na kuwaza sana wanawake,na pia kutazama sana picha na video za ngono.

👉Kuumwa ma kichwa mara kwa mara.

👉Kupungukiwa mbegu katika mfuko Wa uzazi.

👉Kuharibika kwa mishipa ya fahamu.

👉Humfanya mtu kusinzia ovyo kila anapomaliza punyeto.

👉Mpiga punyeto hana uwezo wa kumfikisha mwanamke kileleni.

👉Vyakula.

Hii inaweza kuwa ni sabanu kuu ya kuishiwa Nguvu za kiume.

Leo, mazingira yetu yamejaa sumu na vyakula tunavyokula,hata hewa tunayovuta na maji tunayokunywa vimesheni kemikali na kuingia katika mfumo wa mwili.

Kuwa makini na unachokula na kunywa

Kula vyakula vya Asili.

👉Ugonjwa wa kisukari.

Sukari nyingi katika damu huweza kupelekea kuharibiwa kwa kuta za mishipa ya damu. Kisha kuta hizi hushindwa kuzalisha homoni aina ya Nitrogen Oxide ambayo husaidia kutanua mishipa ya damu kwa ajili ya kupitisha damu kwa ufasaha.

👉Tatizo la Ngiri.

Ni aina ya ugonjwa unaompata mtu baada ya misuli au kuta za tishu mwilini kupoteza uimara au kuwa na uwazi na kusababisha viungo kutoshikiliwa ipasavyo katika sehemu vinapostahili kuwepo.

Tunaweza kuufahamu zaidi ugonjwa wa ngiri kama hali inayotokea katika mwili ambapo sehemu fulani ya nyama ya viungo mbalimbali vya mwili hujipenyeza kupitia sehemu iliyo dhaifu ya mwili na kutokeza upande wa pili. Sehemu inayoathiriwa mara nyingi ni maeneo ya tumbo, kokwa, pumbu na kadhalika ambapo baadhi ya viungo vya mwili vilivyomo tumboni hujipenyeza kupitia vitundu vinavopitisha mishipa ya fahamu inayohudumia kokwa (Spesmatic Cord), hivyo baada ya kujipenyeza huteremka hadi ndani ya korodani hali ambayo hukamilisha kuwepo kwa ugonjwa wa mshipa wa ngiri.

👉Msongo wa mawazo.

Msongo wa mawazo ya kifamilia, matatizo ya kiuchumi, ndoa, yanaweza kuleta madhara makubwa katika utendaji wako wa tendo la ndoa, Msongo hautaweza kukuruhusu kufikilia kwenye tendo la ndoa pindi unapokuwa na mke wako.

Hudhurisha mawazo yako katika tendo.

👉Mazingira.

Kufanya tendo la ndoa na mke wako katika mazingira yale yale,au staili zile zile, au mavazi  yale yale, kila siku inaweza  kukufanya ujione una tatizo la kuishiwa nguvu za kiume.

tengeneza mazingira masafi wakati wa tendo la ndoa.

👉Cholestrol(lehemu).

Ni mafuta ambayo huganda kwenye kuta za mishipa ya damu, Hali hii hupelekea kupungua kipenyo cha mishipa ya damu na kushindwa kupitisha damu vizuri ambayo ndio Husababisha uume kusimama.

👉Mzunguko Wa Damu.

Mzunguko wa damu wenye afya bora husambaza damu ya kutosha katika viungo vyote vya mwili ikijumuisha pia damu iliyo katika mishipa ya uume. Hivyo, hata kama utagusana na mwanamke hautaweza kufanya lolote ikiwa damu haizunguki katika viungo vyako kama inavyotakiwa.

Mtazame mtu aliyekufa, damu yake haizunguki, je anaweza kufanya lolote? Hata hivyo huo ni mfano mkubwa sana.

Hii ni kusema kuwa,chochote ambacho kinazuia mtiririko wa damu kwenda kwenye uume kinaweza kuzuia kusimama kwa uume.Kama mishipa ya vena na ateri imeziba, mwili wako hautaweza kusimamisha uume vizuri. Hii ni kutokana na kwamba uume hautapata damu ya kutosha.

👉Magonjwa ya moyo.

Wanaume wanaougua ugonjwa wa moyo wanakabiliwa na hatari mbalimbali, ikiwamo uwezekano wa kupata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

Maradhi ya moyo yaitwayo Ischemic, au ugumu wa mishipa ya moyo, mara nyingi yanahusiana na upungufu wa nguvu za kiume katika wanaume zaidi ya 60%. Hali hii inaweza kupunguza mzunguko wa damu katika uume.

👉Ugonjwa Wa presha.

Presha ya kupanda ni nini?

Presha ya kupanda au shinikizo la juu damu, kwa Kiingereza High Blood Pressure (Hypertension), ni pale ambapo msukumo wa mtiririko kupitia mishipa ya damu wakati wote unakuwa juu. 

Kupungua nguvu za kiume.

Uhusiano wa matatizo ya nguvu za kiume na presha ya kupanda ni mkubwa sana. Kwa nini kuna uhusiano mkubwa? Presha ya kupanda husababisha damu ndogo sana kutiririka ndani ya uume. Uume unatakiwa upokee damu ya kutosha tena yenye kuja kwa nguvu au kasi ili uweze kusimama vizuri na kwa uimara. Presha ya kupanda hudhuru kunyanzi za mishipa ya damu na hivyo kusababisha mishipa hiyo kukakamaa na njia yake ya kupitisha damu kuwa nyembamba zaidi (athererosclerosis). Presha ya kupanda husababisha mishipa ya ateri kushindwa kufunguka vizuri na hata kupelekea kupasuka.

👉Unene na Uzito kupita kiasi.

Unene  na  uzito  uliozidi  ( Obesity )  ni  miongoni  mwa  vyanzo  na  visababishi  vikuu  vya  tatizo  la  ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume.

Kwa   mujibu  wa  tafiti  mbalimbali  za  kitabibu, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wenye   unene  na  uzito  uliozidi, wanakabiliwa  na  tatizo  la  ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume.

Kwa lugha nyepesi  na  yenye  kueleweka  kwa  kila  mtu,mtu mwenye  unene na uzito uliopitliza, maana  yake ni kwamba ana  mafuta,sukari na kolestrol nyingi  katika  damu yake na vitu hivi ni hatari sana kwa nguvu za kiume.

👉Kukosa Elimu ya tendo la ndoa.

Hili pia ni tatizo kubwa sana wanaume wengi hawana uelewa na tendo la ndoa,jambo ambalo humuondolea mtu kujiamini na kulifanya tendo kwa ustadi wake,Pupa,kutojuwa umuhimu Wa Romance ni tatizo kwa wanaume wengi.

Dalili za kupungua nguvu za kiume.

mwanamme akiwa na tatizo lolote kati ya haya chini, atakuwa hana nguvu za 

:

1.Uume kushindwa kusimama kabisa, au kusimama ukiwa hauna nguvu au kusimama kwa muda mfupi tu (Erectile dysfunction).

2.Mwanamme kufika kileleni mapema sana, au hata kabla ya kuanza tendo (Premature Ejaculation)

3.Kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa (Loss of libido)

4.Pengine unaweza kujumuisha hapa wale wenye tatizo la kuwa la upungufu wa mbegu (Low sperm Count),au wenye mbegu ambazo si komavu.

Kutibu tatizo la upungufu wa nguvu za kiume huendana na chanzo chake

Kushindwa kujua chanzo ni sababu ya kutokupona.

Tiba kwa Vyakula.

Aina 15 ya vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume.

1.Tende

Katika kila gram (100) ndani ya tende kuna virutubisho kwa asilimia kama ifuatavyo.

Chuma(iron). 5.50ppm

wanga(cabohydrate) 78.8%

Nishati(energy) 317kcal

Hamirojo(protin)2.5%

Mafuta(fat).0.4%

Kamba kamba(fiber)4%

Madini 2.1%

Unyevu nyevu(moisture)15.3%

Fructose 27%

Grucose(Sukari) 35%.

Faida nyingine za tende.

1.Huongeza damu ukichanganya na maziwa

2.Husaidia kuzalisha manii kwa wingi

3.Huongeza nguvu za kiume.

4.Huzidisha hamu ya tendo la ndoa.

2.Zabibu.

Huongeza sana nguvu za kiume,wengi hupenda kuyaita “viagra”kwa sababu ya ufanyaji kazi mwilini.husaidia mzunguko wa damu,pia huondoa choletrol.

3.Chocolate.

Husaidia kuongeza stamina,kwa sababu ina viambato vya phenylethylamine na Alkaloid

Phenylethylamine.

hupelekea kujisikia vizuri.

Alkaloid.

Huongeza stamina wakati wa tendo la ndoa.

4.Ndizi.

Ni chanzo kikubwa cha vitamini B,ambacho ni muhimu katika tendo la ndoa,ina kimeng’enyo cha bromelan ambacho huongeza Ashk wakati wa tendo la ndoa.pia huongeza stamina.

5.Tangawizi.

Husisimua sana mzunguko wa damu.tangawizi imekuwa ikitumika sana katika maeneo ya Asia kwa ajili ya wanaume wenye tatizo la nguvu za kiume.

6.Tunda la komamanga.

Ni aina ya matunda yenye rangi nyekundu na muonekeno kama apple.husaidia kuamsha mishipa ya fahamu na kuweka mawasiliano sahihi ya mwili na hivyo kumuongezea uwezo na hamasa wakati wa tendo la ndoa na kupoke hisia kwa urahisi.

7.Mtini

Ni matunda yenye kiwango kikubwa sana cha amino asid,ambayo ni kiungo kikubwa cha Kuzalisha homoni mwilini.

8.Karanga.

NI Chanzo kikubwa sana cha kurekebisha Protini mwilini,pia husaidia kuweka vizuri mzunguko wa damu,na kusaidia kuzalisha homoni ambayo ni muhimu kwa tendo la ndoa.

9.Asali.

Asali ina historia ndefu ya kuamsha nguvu za kiume pamoja na kuwa dawa madhubuti ya kutibu uhanithi kutokana na uwezo wake kama kiamshaji/chaji kwa wanandoa.

Tumia vijiko 2 asubuhi na 2 jioni.

10.Kitunguu swaumu.

Kitunguu swaumu kina Allicin, kiambato kinachosaidia kuweka vizuri mzunguko wa damu.Pia Hupunguza tatizo la damu kuganda katika mishipa ya damu

11.Samaki aina ya pweza na chaza.

Hutoa madini aina ya zink ambayo huzalisha vichocheo vinavyoleta msisimko kwa wanandoa.

12.Ugali wa dona.

Kula ugali wa dona kila siku. Ni mhimu kuachana na mazoea ya kula ugali wa sembe. Ugali wa dona una virutubisho vingi na mhimu kwa ajili ya afya na kuongeza nguvu za kiume.

Ongeza nguvu za kiume kwa kula ugali wa dona kila siku.

13.Maji.

Maji huchukua karibu asilimia (70%) katika mwili wa binadamu.

Ambapo;

Mifupa ina karibu asilimia (25%) ya maji.

Damu ina karibu asilimia(85%) ya maji.

NB.Damu ndio husababisha uume kusimama.

Misuli ya mwili ina karibu(75%) ya maji.

Ubongo una karibu asilimia(85%) ya maji.

Kunywa maji kila siku kabla ya kusikia kiu,Ikiwa mwili utajikopa maji toka katika ubongo, utapatwa na ‘kichwa kizito’ au kichwa kuuma ambacho kinaweza pelekea maumivu ya kichwa.

unywaji wa maji kwa wingi hutusaidia kuweka sawa mzunguko wa damu pia huongeza akili na uwezo wa kufikili.

Kwa matumizi bora ya maji kunywa walau glass 8 kwa siku, na kunywa glass 1 ,kila unapoenda kulala.

14.Tikiti maji.

Lina vitamin A ambayo huondoa sumu mwilini, vitamini C huboresha kinga,hukinga uharibifu wa seli,husaida ubongo kufanya kazi vema,husafisha damu,na kukinga shinikizo la damu,

Hutibu nguvu za kiume ukila na mbegu zake.

15.Mbegu za maboga.

Huondoa msongo wa mawazo,Hutibu matatizo ya ngiri ,huondoa cholestrol,Zina madini ya zink ambayo ni muhimu kwa Mwanaume,zinaongeza wingi wa mbegu za kiume (sperm count)

ukitafuna mbegu za maboga siku mbili tu utaona kazi yake,

Unaweza kupata Dawa iliyoandaliwa kitalaamu ya nguvu za kiume.

Wasiliana na Doctor Seifu

0679919692 / 0763311841

TU FOLLOW KATIKA MITANDAO YA KIJAMII