Tiba Ya Kusafisha Ini

Tiba Ya Kusafisha Ini.

Juice ya Apple, Tango, Limao na Tangawizi ni moja ya juice inayotumika kusafisha Ini lako na kulifanya liweze kufanya kazi yake vizuri ya kuondoa SUMU mwilini…. .

Basi jitengenezee hapo nyumbani na unywe Kila Siku Kabla ya chai na usiku Kabla ya kulala.

Itakutaka uwe na Apple moja
Tango moja
Tangawizi kijiko kimoja
Limao moja

Tumia Blander kusaga na Kuchanganya Vizuri.

Tumia Mara 2 kwa siku

Kwa tiba Zilizoandaliwa kitaalamu

Wasiliana na Doctor Seifu

07633311841

TU FOLLOW KATIKA MITANDAO YA KIJAMII