Tiba Ya Matatizo Ya Miguu

Tumia smoothie hii kuondoa tatizo lako la kujaa maji katika miguu na kuifanya ivimbe, Kuwaka moto hata ukakosa raha ya kutembea kutokana na maumivu wakati mwingine…. .

Ili utengeneze smoothie yako nyumbani utatakiwa uwe na vitu vifuatavyo.

1. Vikombe viwili vya tikitimaji 
2. Vipande vya tango kikombe kimoja 
3. Maji ya limao vijiko viwili
3. Strawberries nusu kikombe
5. Maji ya Dafu kikombe kimoja

Jinsi ya kuandaa

Chukua blender yako na uweke mahitaji yote pamoja kisha saga hadi viwe laini kabisa.

Baada ya Hapo Mimina smoothie yako katika jagi ili kuhifadhi tayari kwa kunywa…

Kunywa walau mara mbili kwa siku

Lakini pia ili uepukane na kujaa kwa miguu unatakiwa kuzingatia yafuatayo:-

1. Kunywa maji ya kutosha
2. Usikae mahali pamoja kwa muda mrefu
3. Epuka kutumia chumvi nyingi na chumvi mbichi
4. Tumia vyakula Au matunda yenye potassium 
5.Epuka kusimama kwa muda mrefu 
6.Tumia vitu vyenye Vitamin B6 pia

Kumbuka kuwa kama una hili tatizo na hutaliepuka basi hata kupunguza uzito kwako itakuwa ni Mtihani mgumu sana kwako.

TU FOLLOW KATIKA MITANDAO YA KIJAMII