Tiba Ya Kuongeza Mwili

Tiba Ya Kuongeza Mwili

Wale waliosema tunapenda kuwa wanene…smoothie hii inawafaa sana kazi kwenu kuinywa ikiambatana na msosi Wenye virutubisho Vyote. .

MAHITAJI

-Ndizi mbivu moja (kata vipande)
-Strawberry kikombe kimoja(ziwe zimeshatolewa Kikonyo)
–Maziwa fresh kikombe kimoja
-Embe kikombe kimoja (vipande) .

JINSI YA KUANDAA

-Chukua mahitaji yako na uweke kwenye blender Ukianza na maziwa kisha Embe, strawberry na Ndizi mwisho. Saga kwa kuanza na speed ndogo kisha maliza na kubwa ili upate kitu laini kisichohitaji kuchujwa….unaweza kuweka tende Au sukari kiasi kuongeza radha kama ndizi haitatosha kuweka radha ya utamu.

Juice hii itawasaidia hata wanaotaka kuongeza maziwa kwa ajili ya watoto wao so usikae mbali na hii kitu.

TU FOLLOW KATIKA MITANDAO YA KIJAMII