Tiba ya Kupunguza Uzito na Kitambi


Tiba ya Kupunguza Uzito na Kitambi

Leo tujifunze jinsi ya kutumia fenugreek/uwatu kupunguza uzito na kitambi.

Ziko njia nyingi ila Leo pata hizi chache zitakusaidia pia… Unatakiwa uwe na uwatu kikombe kimoja ambao utauweka kwenye frying pan na kuukaanga kwenye moto mdogo.

Kaanga ukigeuza geuza hadi mbegu ziwe dark brown.

Baada ya hapo ziipue ziache zipoe.

Kisha chungua grinder/kile kimachine kidogo cha blender. Weka uwatu na uusage hadi uwe Unga laini.

Baada ya kuwa mlaini vizuri hifadhi kwenye container lisilopitisha hewa… Utakuwa ukiweka kijiko cha chai kimoja kwenye kikombe kimoja cha chai au Maziwa ili kunywa..kila siku kabla ya chai na usiku kabla ya kulala.

Au weka kijiko kimoja cha chai kwenye mtindi na unywe kila siku kabla hujalala…wakati huo uwe umepunguza vyakula vya wanga na sukari.

Njia nyingine ni kuweka vijiko vitatu kwenye maji ya vuguvugu 250mls(sawa na kikombe kimoja) usiku kucha…Kisha kunywa mchanganyiko huu asubuhi kikombe kimoja, mchana kimoja na usiku kimoja kabla ya kula chochote.

Na mwisho tumia kijiko kimoja cha uwatu…chemsha maji yakichemka weka uwatu na uache uchemke dk 5.

Baada ya hapo ipua acha yapoe.

Kisha weka kwenye kikombe kisha weka asali kijiko kimoja na limao kipande kisha kunywa kabla ya kila mlo kila siku au kula baada ya chakula….

UWATU HUU TUKUMBUKE TU NI MZURI PIA SANA KWA MAMA ANAYENYONYESHA MTOTO KWA AJILI YA KUONGEZA MAZIWA.

Uwatu/fenugreek utaupata kwa 20,000/=1kg

Weka oda yako kwenda namba 0763311841

TU FOLLOW KATIKA MITANDAO YA KIJAMII