Tiba ya kuSafisha utumbo (colon) wako

Safisha utumbo (colon) wako Kwa kutumia Apple cider Vinegar na Asali mbichi…. .

Unaposafisha utumbo wako basi matatizo kama choo kuwa kigumu, kansa ya utumbo, Kisukari, unene/uzito uliopita kiasi, matatizo ya moyo, gas kukaa tumboni, kuharisha mara kwa mara, maumivu ya tumbo yasiyoisha mpaka unakosa usingizi vitakuwa ni stori Za kusadikika kwako….

Hivyo basi ungana nami katika hili na usikubali afya yako itetereke ili hali vipo vitu ambavyo Mungu ametupa tuvitumie ili tusiteseke na maradhi…. Kwani unaweza Kuwa na Kila kitu lkn kama afya ni mgogoro hela hata hazinogi…. .

Mahitaji

  1. Maji glass moja
  2. ACV(Apple cider Vinegar) vijiko viwili 
  3. Asali kijiko kimoja…

Jinsi ya kuandaa Weka Acv kwenye maji na ukoroge vizuri Mwisho weka Asali kisha koroga tena… Itakuwa tayari…. Kunywa Kabla ya kulala au asubuhi kabla hujanywa chai…

TU FOLLOW KATIKA MITANDAO YA KIJAMII