Madhara 19 Ya Punyeto

Punyeto

Ni kitendo cha kusugua sehemu ya siri ya uzazi kwa kutumia mkono au sabuni na kufika kileleni.

Madhara 19 ya Punyeto.

 1. Ni chanzo kikubwa cha kupoteza kumbukumbu na kukufanya ushindwe kufanya vitu kwa umakini.
 2. Huuwa na kumaliza nguvu za kiume kabisa.
 3. Husababisha uchovu muda wote.
 4. Humfanya mtu kupoteza nguvu za mwili na kumfanya kuwa legevu na mvivu.
 5. Husababisha mwanaume kutoa manii haraka wakati wa tendo la ndoa.
 6. Husababisha msongo mkubwa wa mawazo.(mawazo kuwa mengi)
 7. Husababisha mtu kukosa hamu kabisa Ya tendo la ndoa hata akiwa na mke wake.
 8. Husababisha mtu kuathilika kisaikolojia.
 9. Humfanya mtu kuwa mtumwa wa kitendo hicho.
 10. Kushindwa kusimamisha uume zaidi ya mara 1 na uume kuwa legevu.
 11. Inadhoofisha mwili na kuufanya jalala la maradhi.
 12. Huzidisha mapigo ya moyo kama mtu mwenye presha.
 13. Husababisha kuvunjika kwa ndoa.
 14. Humfanya mtu kutazama na kuwaza sana wanawake,na pia kutazama sana picha na video za ngono.
 15. Kuumwa ma kichwa mara kwa mara.
 16. Kupungukiwa mbegu katika mfuko Wa uzazi.
 17. Kuharibika kwa mishipa ya fahamu.
 18. Humfanya mtu kusinzia ovyo kila anapomaliza punyeto.
 19. Mpiga punyeto hana uwezo wa kumfikisha mwanamke kileleni.

Kwa Tiba Ya Punyeto

Wasiliana na Doctor Seifu

0763311841 / 0679919692

TU FOLLOW KATIKA MITANDAO YA KIJAMII