Clamyidia

Clamyidia.

Hii ni katika magonjwa hatari sana

Clamidiya.👇👇👇

Clamidia ni ugonjwa wa kuambukiza ambao husababishwa na bakteria zinazoitwa na sayansi kama Chlamydia trachomatis.

Ugonjwa huo huwa hauonyeshi dalili za wazi kwa karibia asilimia 75 ya wanawake na asilimia 50 ya
wanaume.

hivyo maambukizi mengi hushindwa kufahamika mapema.

Kulingana na wakala wa afya wa
Marekani Centers for Disease Control and Prevention ndiyo ya kwanza kati ya maradhi ya zinaa yanayoripotiwa zaidi nchini humo:

wataalamu wamekisia kuwa karibia watu milioni tatu huambukizwa klamidia kila mwaka ,lakini kulingana na CDC,ni maambukizi 660,000 tu ndiyo ambayo huripotiwa.

Wakati dalili zinapoanza kujitokeza
wanaume husikia maumivu wakati
wa kukojoa au kutokwa usaha katika uume.Wanawake wanaweza
kutokwa damu nje ya kipindi chao,
maumivu wakati wa kukojoa, kutokwa usaha katika uke,au maumivu chini ya kitovu .

Kama utaachwa bila kutibiwa katika
wanawake,klamidia inaweza kuleta
madhara makubwa kwa afya ya
binafsi na ya jamii.

Klamidia huaribu tishu za uzazi za mwanamke na kusababisha uvimbe katika fupanyonga (pelvic inflammatory disease,PID).

PID inaweza kusababisha mauvimu makali sana katika fupanyonga, utasa/ugumba au utata katika ujauzito ambao unaweza
kusababisha kifo.

Watoto waliozaliwa na mama
aliyembukizwa klamidia huwa na
hatari ya kupata upofu au
maambukizi katika mapafu.

Uchunguzi wa maambukizi ya
klamidia hufanyika kwa kuchunguza fupanyonga na kiwango kidogo cha majimaji kutoka katika uke au uume
ambayo huchunguzwa kwa uwepo wa Chlamydia trachomatis .

Uchunguzi mpya kama ule wa mkojo ili kufahamu uwepo wa bakteria wa klamidia umekuwa ukitumika pia ili kufanya uchunguzi rahisi zaidi wa watu ambao hawaonyeshi dalili za ugonjwa.

Ikiwa unaugonjwa huu

Wasiliana na Doctor Seifu kwa Tiba

0763311841

TU FOLLOW KATIKA MITANDAO YA KIJAMII