Maambukizi katika mfumo wa uzazi wa mwanamke

Maambukizi katika mfumo wa uzazi wa mwanamke.

Pelvic Inflamatory Diseases au kwa kifupi PID ,

Ni moja ya matatizo ambayo huwaathiri sana wanawake.

Kwa kawaida maambukizi haya huusisha shingo ya uzazi (cervix),

hali ambayo hujulikana kama cervicitis,

nyama ya mfuko wa uzazi
(endometrium) ambayo kitaalamu huitwa endometritis,na mirija ya uzazi (fallopian tubes)

hali ijulikanayo kitabibu kama
salpingitis.

PID husababishwa na nini?.

Pamoja na aina kadhaa za vimelea kuhusishwa na PID,

vimelea vya jamii ya Neisseria Gonorrhoeae pamoja na Chlamydia trachomatis

ndivyo vinavyoongoza kwa umaarufu zaidi katika kusababisha PID kwa akina mama.

Je mwanamke huambukizwaje PID?.

Kuna njia kadhaa ambazo mwanamke anaweza kuambukizwa PID.

Njia hizo ni pamoja na Kufanya ngono isiyo salama.

Maambukizi ya njia ya uzazi hasa kipindi mara baada ya kujifungua
(au postpartum period).

Maambukizi ya njia ya uzazi mara baada ya kutoa mimba kwa njia zisizo salama,(post abortion)

au mara baada ya mimba kutoka (miscarriage)

Kutumia vipandikizi vya ndani ya mfuko wa uzazi (IUCD) kama njia mojawapo ya uzazi wa mpango,

na Kuambukizwa kupitia damu iliyo na vimelea vya PID.

Dalili za PID ni zipi ?.

Zipo dalili kadhaa za ugonjwa huu wa PID.

Miongoni mwa dalili hizi ni,

Mwanamke kuhisi maumivu ya tumbo hasa maeneo ya chini ya kitovu,

Kupata maumivu ya mgongo,

Mwanamke kupata  uchafu sehemu za siri.

uchafu huu huambatana na harufu mbaya.

Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa,

Kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa,

Kutoka damu bila mpangilio wakati wa hedhi,

Kupata homa Wakati fulani kuhisi kichefuchefu na Pia kutapika.

Ni vema kupima kwanza ndipo utafute tiba Asili  kwa tatizo hili.

Kwa tiba

Wasiliana na Doctor Seifu

0679919692 _ 0763311841

TU FOLLOW KATIKA MITANDAO YA KIJAMII